Walawi 7:24
Leviticus 7:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mafuta ya mnyama aliyekutwa amekufa au ameraruliwa na mnyama pori yanaweza kutumika kwa kazi nyingine yoyote, lakini kamwe msiyale.
Leviticus 7:24 in English
Leviticus 7:24 · Berean Standard Bible
The fat of an animal found dead or mauled by wild beasts may be used for any other purpose, but you must not eat it.
Context
22Bwana akamwambia Mose, 23“Waambie Waisraeli: ‘Msile mafuta yoyote ya ngʼombe, kondoo wala mbuzi. 24Mafuta ya mnyama aliyekutwa amekufa au ameraruliwa na mnyama pori yanaweza kutumika kwa kazi nyingine yoyote, lakini kamwe msiyale. 25Mtu yeyote alaye mafuta ya mnyama ambaye ametolewa sadaka kwa Bwana kwa moto ni lazima akatiliwe mbali na watu wake. 26Popote mtakapoishi, kamwe msinywe damu ya ndege yeyote wala ya mnyama.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.