Native Bible

Leviticus 26:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitatembea katikati yenu niwe Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu.

Leviticus 26:12 in English

Leviticus 26:12 · Berean Standard Bible

I will walk among you and be your God, and you will be My people.*

Context

10Wakati wa kuvuna mtakuwa bado mnakula mavuno ya mwaka uliopita, na itawalazimu kuyaondoa ghalani ili mpate nafasi ya mavuno mapya. 11Nitafanya makao yangu miongoni mwenu, nami sitawachukia. 12Nitatembea katikati yenu niwe Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu. 13Mimi ndimi Bwana Mungu wenu, niliyewatoa katika nchi ya Misri ili msiendelee kuwa watumwa wa Wamisri, nikavunja kongwa lenu, na kuwawezesha kutembea mkiwa mmeinua vichwa vyenu juu. 14“ ‘Lakini kama hamtanisikiliza na kutimiza maagizo haya yote,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.