Walawi 26:14
Leviticus 26:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Lakini kama hamtanisikiliza na kutimiza maagizo haya yote,
Leviticus 26:14 in English
Leviticus 26:14 · Berean Standard Bible
If, however, you fail to obey Me and to carry out all these commandments,
Context
12Nitatembea katikati yenu niwe Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu. 13Mimi ndimi Bwana Mungu wenu, niliyewatoa katika nchi ya Misri ili msiendelee kuwa watumwa wa Wamisri, nikavunja kongwa lenu, na kuwawezesha kutembea mkiwa mmeinua vichwa vyenu juu. 14“ ‘Lakini kama hamtanisikiliza na kutimiza maagizo haya yote, 15nanyi kama mtazikataa amri zangu na kuzichukia sheria zangu, tena mkishindwa kutimiza amri zangu na hivyo mkavunja agano langu, 16ndipo nitakapowafanyia hili: Nitawaletea juu yenu hofu ya ghafula, magonjwa ya kufisha, na homa itakayopofusha macho yenu na kuwaondolea uhai wenu. Mtapanda mbegu bila mafanikio, kwa sababu adui zenu wataila.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.