Walawi 26:13
Leviticus 26:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mimi ndimi Bwana Mungu wenu, niliyewatoa katika nchi ya Misri ili msiendelee kuwa watumwa wa Wamisri, nikavunja kongwa lenu, na kuwawezesha kutembea mkiwa mmeinua vichwa vyenu juu.
Leviticus 26:13 in English
Leviticus 26:13 · Berean Standard Bible
I am the LORD your God, who brought you out of the land of Egypt so that you would no longer be slaves to the Egyptians. I broke the bars of your yoke and enabled you to walk in uprightness.
Context
11Nitafanya makao yangu miongoni mwenu, nami sitawachukia. 12Nitatembea katikati yenu niwe Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu. 13Mimi ndimi Bwana Mungu wenu, niliyewatoa katika nchi ya Misri ili msiendelee kuwa watumwa wa Wamisri, nikavunja kongwa lenu, na kuwawezesha kutembea mkiwa mmeinua vichwa vyenu juu. 14“ ‘Lakini kama hamtanisikiliza na kutimiza maagizo haya yote, 15nanyi kama mtazikataa amri zangu na kuzichukia sheria zangu, tena mkishindwa kutimiza amri zangu na hivyo mkavunja agano langu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.