Native Bible

Leviticus 26:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitafanya makao yangu miongoni mwenu, nami sitawachukia.

Leviticus 26:11 in English

Leviticus 26:11 · Berean Standard Bible

And I will make My dwelling place * among you, and My soul will not despise * you.

Context

9“ ‘Nitawaangalia kwa upendeleo na kuwafanya mzae na kuzidisha idadi yenu, nami nitalishika Agano langu na ninyi. 10Wakati wa kuvuna mtakuwa bado mnakula mavuno ya mwaka uliopita, na itawalazimu kuyaondoa ghalani ili mpate nafasi ya mavuno mapya. 11Nitafanya makao yangu miongoni mwenu, nami sitawachukia. 12Nitatembea katikati yenu niwe Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu. 13Mimi ndimi Bwana Mungu wenu, niliyewatoa katika nchi ya Misri ili msiendelee kuwa watumwa wa Wamisri, nikavunja kongwa lenu, na kuwawezesha kutembea mkiwa mmeinua vichwa vyenu juu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.