Walawi 19:33
Leviticus 19:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Wakati mgeni anaishi pamoja nawe katika nchi yako, usimnyanyase.
Leviticus 19:33 in English
Leviticus 19:33 · Berean Standard Bible
When a foreigner resides with you in your land, you must not oppress him.
Context
31“ ‘Msiende kwa waaguzi, wala msitafute wapunga pepo, kwa maana watawanajisi. Mimi ndimi Bwana Mungu wako. 32“ ‘Uwapo mbele ya mzee, simama ili kuonyesha heshima kwa wazee, nawe umche Mungu wako. Mimi ndimi Bwana. 33“ ‘Wakati mgeni anaishi pamoja nawe katika nchi yako, usimnyanyase. 34Mgeni anayeishi pamoja nawe ni lazima umtendee kama mmoja wa wazawa wa nchi yako. Mpende kama unavyojipenda mwenyewe, kwa maana ulikuwa mgeni katika nchi ya Misri. Mimi ndimi Bwana Mungu wako. 35“ ‘Usitumie vipimo vya udanganyifu unapopima urefu, kupima uzito, wala kupima wingi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.