Walawi 19:31
Leviticus 19:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Msiende kwa waaguzi, wala msitafute wapunga pepo, kwa maana watawanajisi. Mimi ndimi Bwana Mungu wako.
Leviticus 19:31 in English
Leviticus 19:31 · Berean Standard Bible
You must not turn to mediums or spiritists; do not seek them out, or you will be defiled by them. I am the LORD your God.
Context
29“ ‘Usimdhalilishe binti yako kwa kumfanya kahaba, la sivyo nchi itageukia ukahaba na kujaa uovu. 30“ ‘Shika Sabato zangu na kuheshimu mahali pangu patakatifu. Mimi ndimi Bwana. 31“ ‘Msiende kwa waaguzi, wala msitafute wapunga pepo, kwa maana watawanajisi. Mimi ndimi Bwana Mungu wako. 32“ ‘Uwapo mbele ya mzee, simama ili kuonyesha heshima kwa wazee, nawe umche Mungu wako. Mimi ndimi Bwana. 33“ ‘Wakati mgeni anaishi pamoja nawe katika nchi yako, usimnyanyase.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.