Walawi 19:29
Leviticus 19:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Usimdhalilishe binti yako kwa kumfanya kahaba, la sivyo nchi itageukia ukahaba na kujaa uovu.
Leviticus 19:29 in English
Leviticus 19:29 · Berean Standard Bible
You must not defile your daughter by making her a prostitute, or the land will be prostituted and filled with depravity.
Context
27“ ‘Msikate nywele za kichwa denge, wala kunyoa pembe za ndevu zenu. 28“ ‘Msichanje chale miili yenu kwa ajili ya mfu, wala msijichore alama juu ya miili yenu. Mimi ndimi Bwana. 29“ ‘Usimdhalilishe binti yako kwa kumfanya kahaba, la sivyo nchi itageukia ukahaba na kujaa uovu. 30“ ‘Shika Sabato zangu na kuheshimu mahali pangu patakatifu. Mimi ndimi Bwana. 31“ ‘Msiende kwa waaguzi, wala msitafute wapunga pepo, kwa maana watawanajisi. Mimi ndimi Bwana Mungu wako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.