Walawi 19:27
Leviticus 19:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Msikate nywele za kichwa denge, wala kunyoa pembe za ndevu zenu.
Leviticus 19:27 in English
Leviticus 19:27 · Berean Standard Bible
You must not cut off the hair at the sides of your head or clip off the edges of your beard.
Context
25Bali katika mwaka wa tano mnaweza kula matunda ya mti huo. Kwa njia hii mavuno yenu yataongezewa. Mimi ndimi Bwana Mungu wako. 26“ ‘Msile nyama yoyote yenye damu ndani yake.
“ ‘Msifanye uaguzi wala uchawi. 27“ ‘Msikate nywele za kichwa denge, wala kunyoa pembe za ndevu zenu. 28“ ‘Msichanje chale miili yenu kwa ajili ya mfu, wala msijichore alama juu ya miili yenu. Mimi ndimi Bwana. 29“ ‘Usimdhalilishe binti yako kwa kumfanya kahaba, la sivyo nchi itageukia ukahaba na kujaa uovu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.