Native Bible

Leviticus 19:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“ ‘Msile nyama yoyote yenye damu ndani yake. “ ‘Msifanye uaguzi wala uchawi.

Leviticus 19:26 in English

Leviticus 19:26 · Berean Standard Bible

You must not eat anything with blood still in it. You must not practice divination or sorcery.

Context

24Katika mwaka wa nne matunda yote ya mti huo yatakuwa matakatifu, sadaka ya sifa kwa Bwana. 25Bali katika mwaka wa tano mnaweza kula matunda ya mti huo. Kwa njia hii mavuno yenu yataongezewa. Mimi ndimi Bwana Mungu wako. 26“ ‘Msile nyama yoyote yenye damu ndani yake. “ ‘Msifanye uaguzi wala uchawi. 27“ ‘Msikate nywele za kichwa denge, wala kunyoa pembe za ndevu zenu. 28“ ‘Msichanje chale miili yenu kwa ajili ya mfu, wala msijichore alama juu ya miili yenu. Mimi ndimi Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.