Walawi 18:21
Leviticus 18:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Usimtoe mtoto wako yeyote awe kafara kwa mungu Moleki, kwani hutalinajisi kamwe jina la Mungu wako. Mimi ndimi Bwana.
Leviticus 18:21 in English
Leviticus 18:21 · Berean Standard Bible
You must not give any of your children to be sacrificed * to Molech, for you must not profane the name of your God. I am the LORD.
Context
19“ ‘Usimsogelee mwanamke ili kukutana naye kimwili wakati wa unajisi wa siku zake za mwezi. 20“ ‘Usikutane kimwili na mke wa jirani yako na kujitia naye unajisi. 21“ ‘Usimtoe mtoto wako yeyote awe kafara kwa mungu Moleki, kwani hutalinajisi kamwe jina la Mungu wako. Mimi ndimi Bwana. 22“ ‘Usikutane kimwili na mwanaume kama mtu akutanaye na mwanamke; hilo ni chukizo. 23“ ‘Usikutane kimwili na mnyama na kujitia unajisi kwake. Mwanamke asijipeleke kwa mnyama ili kukutana naye kimwili; huo ni upotovu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.