Native Bible

Leviticus 18:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“ ‘Usikutane kimwili na mke wa jirani yako na kujitia naye unajisi.

Leviticus 18:20 in English

Leviticus 18:20 · Berean Standard Bible

You must not lie carnally with your neighbor’s wife and thus defile yourself with her.

Context

18“ ‘Usimchukue dada wa mke wako kuwa mke mwenza, na kukutana naye kimwili wakati bado mke wako anaishi. 19“ ‘Usimsogelee mwanamke ili kukutana naye kimwili wakati wa unajisi wa siku zake za mwezi. 20“ ‘Usikutane kimwili na mke wa jirani yako na kujitia naye unajisi. 21“ ‘Usimtoe mtoto wako yeyote awe kafara kwa mungu Moleki, kwani hutalinajisi kamwe jina la Mungu wako. Mimi ndimi Bwana. 22“ ‘Usikutane kimwili na mwanaume kama mtu akutanaye na mwanamke; hilo ni chukizo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.