Native Bible

Leviticus 11:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naye nguruwe ingawa anazo kwato zilizogawanyika sehemu mbili, hacheui; huyo ni najisi kwenu.

Leviticus 11:7 in English

Leviticus 11:7 · Berean Standard Bible

And the pig, though it has a split hoof completely divided, does not chew the cud; it is unclean for you.

Context

5Pelele ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu. 6Sungura ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu. 7Naye nguruwe ingawa anazo kwato zilizogawanyika sehemu mbili, hacheui; huyo ni najisi kwenu. 8Kamwe msile nyama yao wala kugusa mizoga yao; wao ni najisi kwenu. 9“ ‘Kuhusu viumbe wote wanaoishi ndani ya maji ya bahari na vijito, mtakula wale wote wenye mapezi na magamba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.