Walawi 11:8
Leviticus 11:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kamwe msile nyama yao wala kugusa mizoga yao; wao ni najisi kwenu.
Leviticus 11:8 in English
Leviticus 11:8 · Berean Standard Bible
You must not eat their meat or touch their carcasses; they are unclean for you.
Context
6Sungura ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu. 7Naye nguruwe ingawa anazo kwato zilizogawanyika sehemu mbili, hacheui; huyo ni najisi kwenu. 8Kamwe msile nyama yao wala kugusa mizoga yao; wao ni najisi kwenu. 9“ ‘Kuhusu viumbe wote wanaoishi ndani ya maji ya bahari na vijito, mtakula wale wote wenye mapezi na magamba. 10Lakini viumbe wote ndani ya bahari au vijito wasio na mapezi na magamba, wakiwa miongoni mwa makundi au viumbe wote ndani ya maji, hao ni machukizo kwenu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.