Native Bible

Leviticus 11:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“ ‘Kuhusu viumbe wote wanaoishi ndani ya maji ya bahari na vijito, mtakula wale wote wenye mapezi na magamba.

Leviticus 11:9 in English

Leviticus 11:9 · Berean Standard Bible

Of all the creatures that live in the water, whether in the seas or in the streams, you may eat anything with fins and scales.

Context

7Naye nguruwe ingawa anazo kwato zilizogawanyika sehemu mbili, hacheui; huyo ni najisi kwenu. 8Kamwe msile nyama yao wala kugusa mizoga yao; wao ni najisi kwenu. 9“ ‘Kuhusu viumbe wote wanaoishi ndani ya maji ya bahari na vijito, mtakula wale wote wenye mapezi na magamba. 10Lakini viumbe wote ndani ya bahari au vijito wasio na mapezi na magamba, wakiwa miongoni mwa makundi au viumbe wote ndani ya maji, hao ni machukizo kwenu. 11Nao watakuwa machukizo kwenu. Msile nyama yao, nayo mizoga yao itakuwa machukizo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.