Native Bible

Leviticus 11:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sungura ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu.

Leviticus 11:6 in English

Leviticus 11:6 · Berean Standard Bible

The rabbit, though it chews the cud, does not have a divided hoof; it is unclean for you.

Context

4“ ‘Kuna wanyama wengine ambao hucheua tu au wenye kwato zilizogawanyika tu, lakini hao kamwe msiwale. Ngamia ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; kwa kawaida ya ibada hiyo ni najisi kwenu. 5Pelele ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu. 6Sungura ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu. 7Naye nguruwe ingawa anazo kwato zilizogawanyika sehemu mbili, hacheui; huyo ni najisi kwenu. 8Kamwe msile nyama yao wala kugusa mizoga yao; wao ni najisi kwenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.