Walawi 11:5
Leviticus 11:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pelele ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu.
Leviticus 11:5 in English
Leviticus 11:5 · Berean Standard Bible
The rock badger,* though it chews the cud, does not have a divided hoof; it is unclean for you.
Context
3Mwaweza kula mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na ambaye hucheua. 4“ ‘Kuna wanyama wengine ambao hucheua tu au wenye kwato zilizogawanyika tu, lakini hao kamwe msiwale. Ngamia ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; kwa kawaida ya ibada hiyo ni najisi kwenu. 5Pelele ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu. 6Sungura ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu. 7Naye nguruwe ingawa anazo kwato zilizogawanyika sehemu mbili, hacheui; huyo ni najisi kwenu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.