Maombolezo 3:15
Lamentations 3:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Amenijaza kwa majani machungu na kunishibisha kwa nyongo.
Lamentations 3:15 in English
Lamentations 3:15 · Berean Standard Bible
He has filled me with bitterness; He has intoxicated me with wormwood.
Context
13Alinichoma moyo wangu kwa mishale
iliyotoka kwenye podo lake. 14Nimekuwa kichekesho kwa watu wangu wote,
wananidhihaki kwa wimbo mchana kutwa. 15Amenijaza kwa majani machungu
na kunishibisha kwa nyongo. 16Amevunja meno yangu kwa changarawe,
amenikanyagia mavumbini. 17Amani yangu imeondolewa,
nimesahau kufanikiwa ni nini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.