Maombolezo 3:13
Lamentations 3:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Alinichoma moyo wangu kwa mishale iliyotoka kwenye podo lake.
Lamentations 3:13 in English
Lamentations 3:13 · Berean Standard Bible
He pierced my kidneys with His arrows.
Context
11ameniburuta kutoka njia,
akanirarua na kuniacha bila msaada. 12Amevuta upinde wake
na kunifanya mimi niwe lengo
kwa ajili ya mishale yake. 13Alinichoma moyo wangu kwa mishale
iliyotoka kwenye podo lake. 14Nimekuwa kichekesho kwa watu wangu wote,
wananidhihaki kwa wimbo mchana kutwa. 15Amenijaza kwa majani machungu
na kunishibisha kwa nyongo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.