Native Bible

Lamentations 3:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ameniburuta kutoka njia, akanirarua na kuniacha bila msaada.

Lamentations 3:11 in English

Lamentations 3:11 · Berean Standard Bible

He forced me off my path and tore me to pieces; He left me without help.

Context

9Ameizuia njia yangu kwa mapande ya mawe, amepotosha njia zangu. 10Kama dubu aviziaye, kama simba mafichoni, 11ameniburuta kutoka njia, akanirarua na kuniacha bila msaada. 12Amevuta upinde wake na kunifanya mimi niwe lengo kwa ajili ya mishale yake. 13Alinichoma moyo wangu kwa mishale iliyotoka kwenye podo lake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.