Native Bible

Lamentations 3:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amevunja meno yangu kwa changarawe, amenikanyagia mavumbini.

Lamentations 3:16 in English

Lamentations 3:16 · Berean Standard Bible

He has ground my teeth with gravel and trampled me in the dust.

Context

14Nimekuwa kichekesho kwa watu wangu wote, wananidhihaki kwa wimbo mchana kutwa. 15Amenijaza kwa majani machungu na kunishibisha kwa nyongo. 16Amevunja meno yangu kwa changarawe, amenikanyagia mavumbini. 17Amani yangu imeondolewa, nimesahau kufanikiwa ni nini. 18Kwa hiyo nasema, “Fahari yangu imeondoka na yale yote niliyokuwa nimetarajia kutoka kwa Bwana.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.