Native Bible

Joshua 21:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kedemothi na Mefaathi, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne;

Joshua 21:37 in English

Joshua 21:37 · Berean Standard Bible

Kedemoth, and Mephaath—four cities, together with their pasturelands.

Context

35Dimna na Nahalali, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne; 36kutoka kabila la Reubeni walipewa Bezeri, Yahasa, 37Kedemothi na Mefaathi, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne; 38kutoka kabila la Gadi walipewa, Ramothi katika Gileadi (mji wa makimbilio kwa ajili ya yeyote anayeshtakiwa kwa ajili ya mauaji), Mahanaimu, 39Heshboni na Yazeri, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.