Native Bible

Joshua 21:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kutoka kabila la Reubeni walipewa Bezeri, Yahasa,

Joshua 21:36 in English

Joshua 21:36 · Berean Standard Bible

From the tribe of Reuben they were given Bezer, Jahaz,

Context

34Koo za Wamerari (Walawi waliobaki) walipewa: kutoka kabila la Zabuloni, Yokneamu, Karta, 35Dimna na Nahalali, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne; 36kutoka kabila la Reubeni walipewa Bezeri, Yahasa, 37Kedemothi na Mefaathi, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne; 38kutoka kabila la Gadi walipewa, Ramothi katika Gileadi (mji wa makimbilio kwa ajili ya yeyote anayeshtakiwa kwa ajili ya mauaji), Mahanaimu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.