Native Bible

Joshua 21:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Dimna na Nahalali, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne;

Joshua 21:35 in English

Joshua 21:35 · Berean Standard Bible

Dimnah, and Nahalal—four cities, together with their pasturelands.

Context

33Miji yote ya koo za Wagershoni ilikuwa kumi na mitatu, pamoja na sehemu zake za malisho. 34Koo za Wamerari (Walawi waliobaki) walipewa: kutoka kabila la Zabuloni, Yokneamu, Karta, 35Dimna na Nahalali, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne; 36kutoka kabila la Reubeni walipewa Bezeri, Yahasa, 37Kedemothi na Mefaathi, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.