Native Bible

Joshua 21:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Miji yote ya koo za Wagershoni ilikuwa kumi na mitatu, pamoja na sehemu zake za malisho.

Joshua 21:33 in English

Joshua 21:33 · Berean Standard Bible

In all, thirteen cities, together with their pasturelands, were given to the Gershonite clans.

Context

31Helkathi na Rehobu, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne. 32Kutoka kabila la Naftali walipewa, Kedeshi katika Galilaya (mji wa makimbilio kwa ajili ya yeyote anayeshtakiwa kwa mauaji), Hamoth-Dori na Kartani, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji mitano. 33Miji yote ya koo za Wagershoni ilikuwa kumi na mitatu, pamoja na sehemu zake za malisho. 34Koo za Wamerari (Walawi waliobaki) walipewa: kutoka kabila la Zabuloni, Yokneamu, Karta, 35Dimna na Nahalali, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.