Yoshua 21:32
Joshua 21:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kutoka kabila la Naftali walipewa, Kedeshi katika Galilaya (mji wa makimbilio kwa ajili ya yeyote anayeshtakiwa kwa mauaji), Hamoth-Dori na Kartani, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji mitano.
Joshua 21:32 in English
Joshua 21:32 · Berean Standard Bible
And from the tribe of Naphtali they were given Kedesh in Galilee (a city of refuge for the manslayer), Hammoth-dor, and Kartan—three cities, together with their pasturelands.
Context
30kutoka kabila la Asheri walipewa,
Mishali, Abdoni, 31Helkathi na Rehobu, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne. 32Kutoka kabila la Naftali walipewa,
Kedeshi katika Galilaya (mji wa makimbilio kwa ajili ya yeyote anayeshtakiwa kwa mauaji), Hamoth-Dori na Kartani, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji mitano. 33Miji yote ya koo za Wagershoni ilikuwa kumi na mitatu, pamoja na sehemu zake za malisho. 34Koo za Wamerari (Walawi waliobaki) walipewa:
kutoka kabila la Zabuloni,
Yokneamu, Karta,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.