Yoshua 21:30
Joshua 21:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kutoka kabila la Asheri walipewa, Mishali, Abdoni,
Joshua 21:30 in English
Joshua 21:30 · Berean Standard Bible
From the tribe of Asher they were given Mishal, Abdon,
Context
28kutoka kabila la Isakari walipewa,
Kishioni, Daberathi, 29Yarmuthi na En-Ganimu, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne 30kutoka kabila la Asheri walipewa,
Mishali, Abdoni, 31Helkathi na Rehobu, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne. 32Kutoka kabila la Naftali walipewa,
Kedeshi katika Galilaya (mji wa makimbilio kwa ajili ya yeyote anayeshtakiwa kwa mauaji), Hamoth-Dori na Kartani, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji mitano.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.