Yoshua 21:28
Joshua 21:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kutoka kabila la Isakari walipewa, Kishioni, Daberathi,
Joshua 21:28 in English
Joshua 21:28 · Berean Standard Bible
From the tribe of Issachar they were given Kishion, Daberath,
Context
26Miji yote hii kumi pamoja na sehemu zake za malisho ilipewa koo za Wakohathi zilizobaki. 27Koo za Walawi za Wagershoni walipewa:
kutoka nusu ya kabila la Manase,
Golani katika Bashani (mji mkuu wa makimbilio kwa yeyote aliyeshtakiwa kwa mauaji) na Beeshtera, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji miwili; 28kutoka kabila la Isakari walipewa,
Kishioni, Daberathi, 29Yarmuthi na En-Ganimu, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne 30kutoka kabila la Asheri walipewa,
Mishali, Abdoni,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.