Yoshua 21:29
Joshua 21:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yarmuthi na En-Ganimu, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne
Joshua 21:29 in English
Joshua 21:29 · Berean Standard Bible
Jarmuth, and En-gannim—four cities, together with their pasturelands.
Context
27Koo za Walawi za Wagershoni walipewa:
kutoka nusu ya kabila la Manase,
Golani katika Bashani (mji mkuu wa makimbilio kwa yeyote aliyeshtakiwa kwa mauaji) na Beeshtera, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji miwili; 28kutoka kabila la Isakari walipewa,
Kishioni, Daberathi, 29Yarmuthi na En-Ganimu, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne 30kutoka kabila la Asheri walipewa,
Mishali, Abdoni, 31Helkathi na Rehobu, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.