Yoshua 21:39
Joshua 21:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Heshboni na Yazeri, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.
Joshua 21:39 in English
Joshua 21:39 · Berean Standard Bible
Heshbon, and Jazer—four cities in all, together with their pasturelands.
Context
37Kedemothi na Mefaathi, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne; 38kutoka kabila la Gadi walipewa,
Ramothi katika Gileadi (mji wa makimbilio kwa ajili ya yeyote anayeshtakiwa kwa ajili ya mauaji), Mahanaimu, 39Heshboni na Yazeri, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne. 40Miji yote waliyopewa koo za Wamerari, waliokuwa mabaki ya Walawi, ilikuwa ni kumi na miwili. 41Miji yote ya Walawi katika eneo lililoshikwa na Waisraeli lilikuwa arobaini na minane, pamoja na sehemu zake za malisho.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.