Native Bible

Joshua 21:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Miji yote ya Walawi katika eneo lililoshikwa na Waisraeli lilikuwa arobaini na minane, pamoja na sehemu zake za malisho.

Joshua 21:41 in English

Joshua 21:41 · Berean Standard Bible

For the Levites, then, there were forty-eight cities in all, together with their pasturelands, within the territory of the Israelites.

Context

39Heshboni na Yazeri, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne. 40Miji yote waliyopewa koo za Wamerari, waliokuwa mabaki ya Walawi, ilikuwa ni kumi na miwili. 41Miji yote ya Walawi katika eneo lililoshikwa na Waisraeli lilikuwa arobaini na minane, pamoja na sehemu zake za malisho. 42Kila mmoja wa miji hii ulikuwa na sehemu ya malisho kuuzunguka; ndivyo ilivyokuwa kwa miji hii yote. 43Kwa hiyo Bwana akawapa Israeli nchi yote aliyokuwa ameapa kuwapa baba zao, nao wakaimiliki na kukaa humo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.