Native Bible

Joel 2:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanapoonekana, mataifa yanakuwa katika maumivu makuu; kila uso unabadilika rangi.

Joel 2:6 in English

Joel 2:6 · Berean Standard Bible

Nations writhe in horror before them; every face turns pale.

Context

4Wanaonekana kama farasi; wanakwenda mbio kama askari wapanda farasi. 5Wanatoa sauti kama magari ya vita, wanaporukaruka juu ya vilele vya milima, kama mlio wa miali ya moto ilayo mabua, kama jeshi kubwa lililojipanga kwa ajili ya vita. 6Wanapoonekana, mataifa yanakuwa katika maumivu makuu; kila uso unabadilika rangi. 7Wanashambulia kama wapiganaji wa vita; wanapanda kuta kama askari. Wote wanatembea katika safu, hawapotoshi safu zao. 8Hakuna anayemsukuma mwenzake; kila mmoja anakwenda mbele moja kwa moja. Wanapita katika vizuizi bila kuharibu safu zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.