Native Bible

Job 9:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata kama ningejiosha kwa sabuni na kutakasa mikono yangu kwa magadi,

Job 9:30 in English

Job 9:30 · Berean Standard Bible

If I should wash myself with snow * and cleanse my hands with lye,

Context

28bado ninahofia mateso yangu yote, kwa kuwa ninajua hutanihesabu kuwa sina hatia. 29Kwa kuwa nimeonekana mwenye hatia, kwa nini basi nitaabishwe bure? 30Hata kama ningejiosha kwa sabuni na kutakasa mikono yangu kwa magadi, 31wewe ungenitupa kwenye shimo la utelezi kiasi kwamba hata nguo zangu zingenichukia sana. 32“Yeye si mwanadamu kama mimi ili niweze kumjibu, ili kwamba tuweze kushindana naye mahakamani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.