Native Bible

Job 9:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

bado ninahofia mateso yangu yote, kwa kuwa ninajua hutanihesabu kuwa sina hatia.

Job 9:28 in English

Job 9:28 · Berean Standard Bible

I would still dread all my sufferings; I know that You will not acquit me.

Context

26Zinapita upesi kama mashua ya mafunjo, mfano wa tai ayashukiaye mawindo kwa ghafula. 27Kama nikisema, ‘Nitayasahau malalamiko yangu, nitabadili sura ya uso wangu na kutabasamu,’ 28bado ninahofia mateso yangu yote, kwa kuwa ninajua hutanihesabu kuwa sina hatia. 29Kwa kuwa nimeonekana mwenye hatia, kwa nini basi nitaabishwe bure? 30Hata kama ningejiosha kwa sabuni na kutakasa mikono yangu kwa magadi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.