Native Bible

Job 9:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa nimeonekana mwenye hatia, kwa nini basi nitaabishwe bure?

Job 9:29 in English

Job 9:29 · Berean Standard Bible

Since I am already found guilty, why should I labor in vain?

Context

27Kama nikisema, ‘Nitayasahau malalamiko yangu, nitabadili sura ya uso wangu na kutabasamu,’ 28bado ninahofia mateso yangu yote, kwa kuwa ninajua hutanihesabu kuwa sina hatia. 29Kwa kuwa nimeonekana mwenye hatia, kwa nini basi nitaabishwe bure? 30Hata kama ningejiosha kwa sabuni na kutakasa mikono yangu kwa magadi, 31wewe ungenitupa kwenye shimo la utelezi kiasi kwamba hata nguo zangu zingenichukia sana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.