Ayubu 9:31
Job 9:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wewe ungenitupa kwenye shimo la utelezi kiasi kwamba hata nguo zangu zingenichukia sana.
Job 9:31 in English
Job 9:31 · Berean Standard Bible
then You would plunge me into the pit, and even my own clothes would despise me.
Context
29Kwa kuwa nimeonekana mwenye hatia,
kwa nini basi nitaabishwe bure? 30Hata kama ningejiosha kwa sabuni
na kutakasa mikono yangu kwa magadi, 31wewe ungenitupa kwenye shimo la utelezi
kiasi kwamba hata nguo zangu zingenichukia sana. 32“Yeye si mwanadamu kama mimi ili niweze kumjibu,
ili kwamba tuweze kushindana naye mahakamani. 33Laiti angelikuwepo mtu wa kutupatanisha kati yetu,
aweke mkono wake juu yetu sote wawili,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.