Native Bible

Job 42:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Ulisema, ‘Sikiliza sasa, nami nitanena; nitakuuliza swali, nawe yakupasa kunijibu.’

Job 42:4 in English

Job 42:4 · Berean Standard Bible

You said, ‘Listen now, and I will speak. I will question you, and you shall inform Me.’*

Context

2“Ninajua ya kuwa unaweza kufanya mambo yote, wala hakuna mpango wako unaoweza kuzuilika. 3Uliuliza, ‘Ni nani huyu afichaye mashauri yangu bila maarifa?’ Hakika nilisema juu ya mambo niliyokuwa siyaelewi, mambo ya ajabu mno kwangu mimi kuyajua. 4“Ulisema, ‘Sikiliza sasa, nami nitanena; nitakuuliza swali, nawe yakupasa kunijibu.’ 5Masikio yangu yalikuwa yamesikia habari zako, lakini sasa macho yangu yamekuona. 6Kwa hiyo najidharau mwenyewe, na kutubu katika mavumbi na majivu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.