Ayubu 42:2
Job 42:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ninajua ya kuwa unaweza kufanya mambo yote, wala hakuna mpango wako unaoweza kuzuilika.
Job 42:2 in English
Job 42:2 · Berean Standard Bible
“I know that You can do all things and that no plan of Yours can be thwarted.
Context
1Ndipo Ayubu akamjibu Bwana: 2“Ninajua ya kuwa unaweza kufanya mambo yote,
wala hakuna mpango wako unaoweza kuzuilika. 3Uliuliza, ‘Ni nani huyu afichaye mashauri yangu bila maarifa?’
Hakika nilisema juu ya mambo niliyokuwa siyaelewi,
mambo ya ajabu mno kwangu mimi kuyajua. 4“Ulisema, ‘Sikiliza sasa, nami nitanena;
nitakuuliza swali, nawe yakupasa kunijibu.’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.