Native Bible

Job 42:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Ayubu akamjibu Bwana:

Job 42:1 in English

Job 42:1 · Berean Standard Bible

Then Job replied to the LORD:

Context

1Ndipo Ayubu akamjibu Bwana: 2“Ninajua ya kuwa unaweza kufanya mambo yote, wala hakuna mpango wako unaoweza kuzuilika. 3Uliuliza, ‘Ni nani huyu afichaye mashauri yangu bila maarifa?’ Hakika nilisema juu ya mambo niliyokuwa siyaelewi, mambo ya ajabu mno kwangu mimi kuyajua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.