Native Bible

Job 38:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Je, utamwindia simba jike mawindo, na kuwashibisha simba wenye njaa

Job 38:39 in English

Job 38:39 · Berean Standard Bible

Can you hunt the prey for a lioness or satisfy the hunger of young lions

Context

37Nani mwenye hekima ya kuyahesabu mawingu? Ni nani awezaye kuinamisha magudulia ya mbinguni 38wakati mavumbi yawapo magumu, na mabonge ya udongo kushikamana pamoja? 39“Je, utamwindia simba jike mawindo, na kuwashibisha simba wenye njaa 40wakati wao wamejikunyata mapangoni mwao, au wakivizia kichakani? 41Ni nani ampaye kunguru chakula wakati makinda yake yanamlilia Mungu, yakizungukazunguka kwa ajili ya kukosa chakula?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.