Native Bible

Job 38:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni nani ampaye kunguru chakula wakati makinda yake yanamlilia Mungu, yakizungukazunguka kwa ajili ya kukosa chakula?

Job 38:41 in English

Job 38:41 · Berean Standard Bible

Who provides food for the raven when its young cry out to God as they wander about for lack of food?

Context

39“Je, utamwindia simba jike mawindo, na kuwashibisha simba wenye njaa 40wakati wao wamejikunyata mapangoni mwao, au wakivizia kichakani? 41Ni nani ampaye kunguru chakula wakati makinda yake yanamlilia Mungu, yakizungukazunguka kwa ajili ya kukosa chakula?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.