Native Bible

Job 38:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wakati wao wamejikunyata mapangoni mwao, au wakivizia kichakani?

Job 38:40 in English

Job 38:40 · Berean Standard Bible

when they crouch in their dens and lie in wait in the thicket?

Context

38wakati mavumbi yawapo magumu, na mabonge ya udongo kushikamana pamoja? 39“Je, utamwindia simba jike mawindo, na kuwashibisha simba wenye njaa 40wakati wao wamejikunyata mapangoni mwao, au wakivizia kichakani? 41Ni nani ampaye kunguru chakula wakati makinda yake yanamlilia Mungu, yakizungukazunguka kwa ajili ya kukosa chakula?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.