Native Bible

Job 37:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Dhoruba hutoka katika chumba chake, baridi hutoka katika upepo uendao kasi.

Job 37:9 in English

Job 37:9 · Berean Standard Bible

The tempest comes from its chamber, and the cold from the driving north winds.

Context

7Ili wanadamu wote aliowaumba wapate kujua kazi zake, yeye humzuilia kila mtu shughuli zake. 8Wanyama hujificha; hubakia kwenye mapango yao. 9Dhoruba hutoka katika chumba chake, baridi hutoka katika upepo uendao kasi. 10Pumzi ya Mungu hutoa barafu, eneo kubwa la maji huganda. 11Huyasheheneza mawingu kwa maji, naye husambaza umeme wake wa radi kupitia hayo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.