Ayubu 37:10
Job 37:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pumzi ya Mungu hutoa barafu, eneo kubwa la maji huganda.
Job 37:10 in English
Job 37:10 · Berean Standard Bible
By the breath of God the ice is formed and the watery expanses are frozen.
Context
8Wanyama hujificha;
hubakia kwenye mapango yao. 9Dhoruba hutoka katika chumba chake,
baridi hutoka katika upepo uendao kasi. 10Pumzi ya Mungu hutoa barafu,
eneo kubwa la maji huganda. 11Huyasheheneza mawingu kwa maji,
naye husambaza umeme wake wa radi kupitia hayo. 12Nayo mawingu huzungukazunguka pande zote kwa amri yake,
juu ya uso wa dunia yote,
kufanya lolote ayaamuruyo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.