Native Bible

Job 37:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nayo mawingu huzungukazunguka pande zote kwa amri yake, juu ya uso wa dunia yote, kufanya lolote ayaamuruyo.

Job 37:12 in English

Job 37:12 · Berean Standard Bible

They swirl about, whirling at His direction, accomplishing all that He commands over the face of all the earth.

Context

10Pumzi ya Mungu hutoa barafu, eneo kubwa la maji huganda. 11Huyasheheneza mawingu kwa maji, naye husambaza umeme wake wa radi kupitia hayo. 12Nayo mawingu huzungukazunguka pande zote kwa amri yake, juu ya uso wa dunia yote, kufanya lolote ayaamuruyo. 13Huleta mawingu ili kuadhibu wanadamu, au kuinyeshea dunia yake na kuonyesha upendo wake. 14“Ayubu, sikiliza hili; nyamaza na uyafikiri maajabu ya Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.