Ayubu 37:14
Job 37:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ayubu, sikiliza hili; nyamaza na uyafikiri maajabu ya Mungu.
Job 37:14 in English
Job 37:14 · Berean Standard Bible
Listen to this, O Job; stand still and consider the wonders of God.
Context
12Nayo mawingu huzungukazunguka pande zote kwa amri yake,
juu ya uso wa dunia yote,
kufanya lolote ayaamuruyo. 13Huleta mawingu ili kuadhibu wanadamu,
au kuinyeshea dunia yake na kuonyesha upendo wake. 14“Ayubu, sikiliza hili;
nyamaza na uyafikiri maajabu ya Mungu. 15Je, unajua jinsi Mungu anavyoyaongoza mawingu,
na kufanya umeme wake wa radi utoe mwanga? 16Je, wajua jinsi mawingu yanavyokaa yakiwa yametulia,
hayo maajabu yake yeye aliye mkamilifu katika maarifa?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.