Ayubu 37:16
Job 37:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, wajua jinsi mawingu yanavyokaa yakiwa yametulia, hayo maajabu yake yeye aliye mkamilifu katika maarifa?
Job 37:16 in English
Job 37:16 · Berean Standard Bible
Do you understand how the clouds float, those wonders of Him who is perfect in knowledge?
Context
14“Ayubu, sikiliza hili;
nyamaza na uyafikiri maajabu ya Mungu. 15Je, unajua jinsi Mungu anavyoyaongoza mawingu,
na kufanya umeme wake wa radi utoe mwanga? 16Je, wajua jinsi mawingu yanavyokaa yakiwa yametulia,
hayo maajabu yake yeye aliye mkamilifu katika maarifa? 17Wewe unayeshindwa na joto katika nguo zako
wakati nchi imenyamazishwa kimya bila upepo wa kusini, 18je, waweza kuungana naye katika kuzitandaza anga,
zilizo ngumu kama kioo cha shaba ya kuyeyushwa?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.