Native Bible

Job 37:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, unajua jinsi Mungu anavyoyaongoza mawingu, na kufanya umeme wake wa radi utoe mwanga?

Job 37:15 in English

Job 37:15 · Berean Standard Bible

Do you know how God dispatches the clouds or makes the lightning flash?

Context

13Huleta mawingu ili kuadhibu wanadamu, au kuinyeshea dunia yake na kuonyesha upendo wake. 14“Ayubu, sikiliza hili; nyamaza na uyafikiri maajabu ya Mungu. 15Je, unajua jinsi Mungu anavyoyaongoza mawingu, na kufanya umeme wake wa radi utoe mwanga? 16Je, wajua jinsi mawingu yanavyokaa yakiwa yametulia, hayo maajabu yake yeye aliye mkamilifu katika maarifa? 17Wewe unayeshindwa na joto katika nguo zako wakati nchi imenyamazishwa kimya bila upepo wa kusini,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.