Native Bible

Job 37:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

je, waweza kuungana naye katika kuzitandaza anga, zilizo ngumu kama kioo cha shaba ya kuyeyushwa?

Job 37:18 in English

Job 37:18 · Berean Standard Bible

can you, like Him, spread out the skies to reflect the heat like a mirror of bronze?

Context

16Je, wajua jinsi mawingu yanavyokaa yakiwa yametulia, hayo maajabu yake yeye aliye mkamilifu katika maarifa? 17Wewe unayeshindwa na joto katika nguo zako wakati nchi imenyamazishwa kimya bila upepo wa kusini, 18je, waweza kuungana naye katika kuzitandaza anga, zilizo ngumu kama kioo cha shaba ya kuyeyushwa? 19“Tuambieni yatupasayo kumwambia; hatuwezi kutayarisha shauri letu kwa sababu ya ujinga wetu. 20Je, aambiwe kwamba nataka kuongea? Je, yuko mtu ambaye angeomba kumezwa?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.