Ayubu 37:20
Job 37:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, aambiwe kwamba nataka kuongea? Je, yuko mtu ambaye angeomba kumezwa?
Job 37:20 in English
Job 37:20 · Berean Standard Bible
Should He be told that I want to speak? Would a man ask to be swallowed up *?
Context
18je, waweza kuungana naye katika kuzitandaza anga,
zilizo ngumu kama kioo cha shaba ya kuyeyushwa? 19“Tuambieni yatupasayo kumwambia;
hatuwezi kutayarisha shauri letu kwa sababu ya ujinga wetu. 20Je, aambiwe kwamba nataka kuongea?
Je, yuko mtu ambaye angeomba kumezwa? 21Basi hakuna awezaye kulitazama jua,
jinsi linavyongʼaa angani,
upepo ukishafagia mawingu. 22Kutoka kaskazini yeye huja na fahari kuu;
Mungu huja katika utukufu wa kutisha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.